Makala ya #KomeshaEACOP
Jumuika nasi tarehe Oktoba 30 kwa onyesho la kwanza la makala ya EACOP: Ukweli Halisi.
Sikiliza moja kwa moja kutoka kwa jamii zilizoathiriwa na EACOP na wanaharakati wanaopinga bomba la mafuta ghafi ambalo litakuwa refu zaidi duniani.